Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari za uzima,
Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
KIA Airport mimepita karibuni nikitokea Doha, walishuka watalii zaidi 200.
Bahati ilikuwa asubuhi nimeweza kuona vizuri mandhari na mazingira yake, ni Airport iliyo eneo zuri na panaweza...
Tupigie tuje kukutengenezea Laptop/Desktop iwe Mac au Windows PC
Ofisini/Nyumbani.
Pia Tunauza Spare za Laptop/Macbook kama
Batteries
Chargers
Keyboard
Housing
Hdd/SSD/Ram Memories
Softwares...
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.
Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.