Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri...
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea
Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya...
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha...
Wana MMU,
Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.