Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kaenda zake kujilia mabikira..... he IDF has intensified operations within Shifa Hospital in recent weeks, where they killed numerous terrorists, including a Hamas official. By JERUSALEM POST...
2 Reactions
5 Replies
110 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa...
3 Reactions
58 Replies
907 Views
Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao. Chanzo ni TRA...
90 Reactions
462 Replies
24K Views
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha. Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi...
32 Reactions
289 Replies
5K Views
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr. Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach Je, nawe utaenda wapi?
4 Reactions
26 Replies
177 Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
16 Reactions
371 Replies
5K Views
Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
3 Reactions
111 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,599
Posts
49,207,062
Members
664,061
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom