Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
17 Reactions
1K Replies
56K Views
  • Article
Habari, Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo...
11 Reactions
73 Replies
1K Views
Mambo ya tabia na mazoea mbofu mbofu utapigwa na mumeo mpaka ujirekebishe. Habari ndio hiyo.
6 Reactions
47 Replies
504 Views
Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo Bei ni 600,000 Simu 0753-215812.
0 Reactions
13 Replies
190 Views
Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
3 Reactions
30 Replies
443 Views
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
0 Reactions
39 Replies
986 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia. Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja...
5 Reactions
20 Replies
374 Views
Serikali imesema inakuja na muongozo wa wanaojitolea kufanya kazi kwenye taasisi mbalimbali utakaoangalia ni kwa namna gani wanaweza kulipwa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
0 Reactions
8 Replies
55 Views
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA 📌 Asema limepunguza athari za mafuriko 📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji 📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika 📌...
0 Reactions
5 Replies
186 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,568
Posts
49,422,091
Members
665,995
Latest member
Shaibu Ally Bakari
Back
Top Bottom