Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu. Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
2 Reactions
12 Replies
248 Views
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
5 Reactions
24 Replies
398 Views
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikua busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
12 Reactions
35 Replies
414 Views
Wazazi wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini. Ujumhe huo ulisomeka kuwa...
0 Reactions
2 Replies
72 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Great Thinkers. Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa. Huwezi ukategemea watu.wa.Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth...
1 Reactions
6 Replies
71 Views
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda...
6 Reactions
30 Replies
533 Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. l Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
1 Reactions
40 Replies
803 Views
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa...
8 Reactions
38 Replies
910 Views
leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu...
22 Reactions
26 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,248
Posts
49,194,886
Members
663,951
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom