Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.
Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa...
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.
Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.
Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa...
Wasalaam wakuu, mpaka muda huu nina huzuni ya nafsi baada ya kuiona maiti ya bajaji iliyogongwa na roli la cement mzinga, njia ile wallah finyu barabara ni mbovu,vyombo vinavyopita pale ni vyenye...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Kulingana na baadhi ya Wanyaruanda kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kigali kipo hakipo Mwanza na kipo Mwanza hakipo Kigali.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.