Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu.
Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja.
Karibuni.
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki.
Hii ni...
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa...
Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto.
Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume.
Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine...
Wasalam
Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu
Historia inaonyesha Simba...
ISIS wamewateketeza wakiwa hai wasichana 19 kutoka Yezidi waliokataa kusilimu na kuwa watumwa wa ngono.
Jamii ya watu wasio waislam imejipanga kufanya maandamano kupinga hatua hiyo iliyovuka...
Ni swali ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana.Hivi ni kweli mzazi (Baba au Mama) anapopatwa na majanga kama vile kupooza mwili, Magonjwa ambayo inampasa kusaidiwa au umri wake kwenda na kushindwa...
Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi...
[emoji599] BREAKING NEWS:
Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga haita tumia dressing room za uwanja wa Mkapa baada ya kuikuta kwenye hali mbaya, ripoti zimefika kwa mratibu wa mchezo (coordinator)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.