Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
"Money Penny buana, nadhani nimepata true love,
Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii,
Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex
Nilipokuwa kifuani kwa...
Leo nimekaa na mke wangu tunakula ghafla maziwa yakamuuma akaniambia mtoto anakojoa ndani ndo Mana yananiuma ,Mana mtot ana miezi miwil alikuwa amelala .
Nikamwambia acha Imani zako za kiswahili...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.
PIA SOMA:
- LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel
- Mafuta kupanda bei baada...
Habari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
Haya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo.
Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.