Kuna haja ya kupima maemeo yote ambayo yanatumika kwa makzi, ilikuepuka changamoto ambazo zinaweza kusababisha madhara.
Ni vyema wahusika na wapimaji wa ardhi wangeanza kwanza upimaji kabl ya...
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
📌 Asema limepunguza athari za mafuriko
📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika
📌...
Denis Nkane ni Moja Kati ya Talanta kuntu sana katika taifa letu, Talanta hii kocha wa mpira Mohammed Nabi aliiamini kabisa na iliipa matokeo "what a supersub" Naam hakuna asiyekua umuhimu wa wa...
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi...
"we will stop rain for you." ni kauli ya rais wa awamu ya sita waJamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa filamu ya royal tour huko nchini marekani. Alisema kauli hii katika kuwatia...
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani...
Habari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.