Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni...
18 Reactions
569 Replies
14K Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
5 Reactions
46 Replies
606 Views
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri, Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
15 Reactions
52 Replies
785 Views
Kuna jumbe mbalimbali za maandishi zimeanza kusambaa kwenye page za wapinzani zikionyesha askari wa polisi wakilalamika kwamba baada ya kufanya kazi miaka 30+ wameambulia kikokotoo kisichozidi...
1 Reactions
1 Replies
63 Views
Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa. Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru...
2 Reactions
15 Replies
467 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
4 Reactions
23 Replies
632 Views
Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto. Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume. Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine...
11 Reactions
46 Replies
712 Views
Hili ni jambo lililofanyika usiku huu, hakuna kulala. Habari kamili hii hapa.
5 Reactions
8 Replies
521 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
16 Reactions
855 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,739
Posts
49,464,263
Members
666,445
Latest member
New life zone
Back
Top Bottom