Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake
Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki?
Msaaada naombeni
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni...
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia
Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.