Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kesho mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Match Day Siku yetu kubwa tulioisubiria kwa hamu. Imetimia leo. Mchezo wa Robo fainali ya kwanza kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly, mabingwa kutoka Misri. Mchezo huu utachezwa muda wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
NYUMBA INAUZWAAA BEI CHEEEE NYUMBA IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU... Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei milion 29 MAWASILIANO...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea...
14 Reactions
105 Replies
2K Views
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
12 Reactions
34 Replies
544 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
292 Replies
5K Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
69 Reactions
3K Replies
232K Views
Huyu ni Mwanaume ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
1 Reactions
69 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,417
Posts
49,201,453
Members
664,013
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom