Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
20 Reactions
128 Replies
4K Views
Habari, wanajf kunabinti anatafuta kazi yeyote ila isiwe ya bar Umri wake ni 20 tu.picha nimewawekea hapo chini pia bila kusahau anapatikana geita huko.
1 Reactions
13 Replies
32 Views
Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba...
5 Reactions
29 Replies
365 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
40 Reactions
165 Replies
3K Views
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
34 Reactions
266 Replies
3K Views
kuna makamanda wa polisi wa mikoa waliovuma sana enzi zao za utumishi Jeshini kwa kupambana na uhalifu. Mmoja wapo ni, Venance Tossi. Tukumbushe wengne unaowajua.
4 Reactions
101 Replies
24K Views
Habarini, "Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao. Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka...
18 Reactions
82 Replies
3K Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
3 Reactions
14 Replies
323 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,019
Posts
49,404,146
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom