Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
40 Replies
451 Views
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana. my views kwa mzize 1. Mzize ni useless player in...
7 Reactions
44 Replies
707 Views
Niaje waungwana Leo ningependa kuuliza tena maswali ambayo yamekuwa yakikosa majibu ya kueleweka kutoka kwa uongozi wote wa JF kwa ujumla. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya moderators kuvizia post...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Aisee hawa wanawake ni hatari. Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa...
81 Reactions
230 Replies
6K Views
Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari...
15 Reactions
63 Replies
3K Views
A
Anonymous
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
3 Reactions
17 Replies
170 Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
8 Reactions
54 Replies
1K Views
Wasaalam Wana Jukwaa wote. Tunaelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia hapo Mei 15, 2024 ambapo, nchi yetu tutaungana na zingine duniani kuadhimisha. Familia ni chanzo cha jamii yetu...
5 Reactions
4 Replies
116 Views
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana...
0 Reactions
5 Replies
97 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,773
Posts
49,429,100
Members
666,058
Latest member
regluccy
Back
Top Bottom