Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. Natamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
Zingatia hicho kichwa hapo juu
Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
MUUNGANO CUP: Nusu fainali ya kwanza inachezwa leo Jumatano
Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ
Kikosi cha Simba kinachoanza
Goool 25 Fred anaitanguliza Simba
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Salaam, shalom!!
Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto.
JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip...
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?
Umeaccomplish mikakati yako?
Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.