Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Kigoma tangu 2020, tulikutana chuo, na penzi likakolea haswaa! Kipindi cha Covid penzi lilinoga zaidi kwani "Working from home" ilifanya muda wote...
205 Reactions
730 Replies
41K Views
Hello! Jf members ! Karibu kwenye uwanja huu tukutane wanasaikolojia, wahitimu na wanaoendelea na masomo ya saikolojia! Psychology is the study of human mind/brain and behavior (saikolojia ni...
9 Reactions
149 Replies
18K Views
Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu.. Asante
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Habari za muda huu wapendwa.....,... Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde..... Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako...... Kuna nyakati unapitia...
5 Reactions
19 Replies
110 Views
Habarini wana JamiiForums, Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta...
10 Reactions
69 Replies
10K Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
33 Reactions
114 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
219K Replies
16M Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
23 Reactions
112 Replies
2K Views
Wazazi tunachangishwa michango ya madawati mitihani matundu ya vyoo Pamoja na kodi tunalipa na tozo tunatozwa lakini bado tunachangishwa michango mbali mbali Cha ajabu wasio lipa kodi wala...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
148 Reactions
12K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,847,841
Posts
49,467,429
Members
666,455
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom