Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
6 Reactions
61 Replies
533 Views
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
6 Reactions
51 Replies
311 Views
Wadau hamjamboni nyote Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi.
6 Reactions
12 Replies
613 Views
Kiukweli Oysterbay itabaki Kuwa Oysterbay tu japo wengine wanadai Mbweni ndio mbadala wa Makazi ya Viongozi wa Serikali waliokuwa wanaishi huko Barabara ni Lami tupu lakini Maji ya mvua...
0 Reactions
6 Replies
129 Views
This is absurd and intolerable. Kwanini wao wajione muhimu sana ktk muungano huu? Kauli kama hizi kutoka kwa kiongozi (mbunge) hazivumiliki!
1 Reactions
5 Replies
124 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
2 Reactions
3 Replies
27 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
9 Reactions
42 Replies
484 Views
Mpambano wa majiji mawili ya kanda ya ziwa
6 Reactions
5K Replies
378K Views
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na...
2 Reactions
25 Replies
421 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,866
Posts
49,468,192
Members
666,513
Latest member
CollinsTeko
Back
Top Bottom