Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu embu tujuzeni ulipitiaje kipindi ukiwa huna hela maisha yamekupiga total knock out and huna kula kulala ya uhakika? Mie nimejaribu mishe za udalali ila hailipi kabisaa na ni majanga bin...
21 Reactions
177 Replies
7K Views
Uwezo wa kukabilianana majanga kwa wakati si jambo rahisi kwa taifa wa jamii yoyote haijarishi uwezo wala maendeleo taifa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Tunajua kwamba Mariamu alimpata Yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu.... Lakini pia tunajua alikuwa mke wa halali wa Yusufu.... Inawezekana kweli kwamba kwenye maisha yao yote ya ndoa, baada ya Yesu...
2 Reactions
28 Replies
204 Views
Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu,, Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo. 1, ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano. ili...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
2 Reactions
57 Replies
523 Views
Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike..... unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au...
6 Reactions
26 Replies
228 Views
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm 2019 Simba 0 TP Mazembe 0 2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0 2022 SIMBA 1 ORLANDO...
1 Reactions
11 Replies
496 Views
Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha! Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10000tsh Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia...
1 Reactions
2 Replies
7 Views
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa...
5 Reactions
55 Replies
480 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,699
Posts
49,209,514
Members
664,073
Latest member
merckme
Back
Top Bottom