Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
2 Reactions
15 Replies
376 Views
Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba...
3 Reactions
6 Replies
175 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
4 Reactions
76 Replies
492 Views
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
16 Reactions
234 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye...
1 Reactions
25 Replies
522 Views
Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu.. Asante
3 Reactions
57 Replies
401 Views
"Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi...
12 Reactions
25 Replies
539 Views
Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
21 Reactions
165 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Wanahabari Isack gamba, ahmed juma baragaza, fredwaa, ephraim kibonde, agnes almasy, samadu hassan, gardner g habash, prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo...
0 Reactions
5 Replies
60 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,943
Posts
49,469,635
Members
666,520
Latest member
Ndasika
Back
Top Bottom