Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
13 Reactions
126 Replies
3K Views
Kahama wanavuna mpunga mwezi gani Naomba connection kwa anayeishi Kahama au mkulima wa mpunga
0 Reactions
15 Replies
2K Views
1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma. Unabisha....? -Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo. 2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo...
4 Reactions
4 Replies
293 Views
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika...
31 Reactions
263 Replies
8K Views
Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana. Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras,India,AD 200. Mpaka leo yuko hai. Nilitamani kuweka...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
18 Reactions
154 Replies
3K Views
1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao: 2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu? 3. Kwamba madeni ndiyo haya? 4. Wanaeleweka washirika...
2 Reactions
20 Replies
423 Views
Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini. Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba...
5 Reactions
20 Replies
159 Views
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru. Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa na...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea.. Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti. Inashangaza sana. Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo...
17 Reactions
99 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,997
Posts
49,403,453
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom