Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu. Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3. Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...
19 Reactions
62 Replies
2K Views
Tayari Israel imejibu shambulio lililofanywa na Iran dhidi yake takriban wiki iliyopita. Miripuko imesikiaka kwenye mji wa Isfahan ambapo Iran imekiri kutokea kwa shambulio hilo Shirika la habari...
1 Reactions
22 Replies
300 Views
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
2 Reactions
48 Replies
2K Views
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili. 2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo. 3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka...
7 Reactions
60 Replies
2K Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
16 Reactions
62 Replies
666 Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
4 Reactions
168 Replies
3K Views
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa...
22 Reactions
67 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
219K Replies
16M Views
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu. Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
8 Reactions
40 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,699
Posts
49,426,544
Members
666,032
Latest member
Banemhi
Back
Top Bottom