Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu...
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
Moja ya tamaduni ya zamani kabisa ni ile ya kuongea mwenyewe. Siku hizi ukiongea mwenyewe unaonekana chizi, hii haikuzuii kuongea mwenyewe au kujiongelesha mwenyewe ukiwa faragha.
Ukisoma...
Niaje waungwana,
Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
Dunia nzima imeripuka na taarifa na dhana kuwa Israel imejibu mapigo ya Iran.Wengine wakaenda mbali na kusema Israel imepiga Iraq,Syria na hiyo Iran.
Kwa mujibu wa vyo vya habari vya Iran...
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu.
Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha...
Kwa miaka kumi tumeona wakuu wa wilaya na mikoa wakichapa na kupiga subordinate wao na kuishia kutenguliwa uteuzi kisha baada ya muda kuteuliwa tena.
Tumeshuhudia viongozi kama Naibu Waziri...
Leo napenda niwaambie sababu kubwa ya Israel kulindwa na mataifa ya magharibi na Baadhi ya nchi za kiarabu.
Naweza kusema sababu kubwa ni Iman za Dini na mind set za watu hasa Waafrika sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.