Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane...
0 Reactions
6 Replies
75 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
6 Reactions
45 Replies
738 Views
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu. Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila...
17 Reactions
71 Replies
4K Views
Hello. Katika ulimwengu wa mahaba kipi uwa unaenjoy zaidi. Kuzama chumvini wewe je?
3 Reactions
19 Replies
132 Views
Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana. Umri wake 25-29 Nipo Kilimanjaro Moshi mjini...
4 Reactions
20 Replies
42 Views
Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib...
2 Reactions
42 Replies
672 Views
Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si TZ ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara hazina power, huingia moja kwa moja...
2 Reactions
9 Replies
92 Views
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati...
9 Reactions
31 Replies
803 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
27 Reactions
356 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,591
Posts
49,422,707
Members
666,004
Latest member
Dick Osewe
Back
Top Bottom