Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi...
1 Reactions
31 Replies
469 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
14 Reactions
188 Replies
7K Views
Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis. Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu. Kwakweli Mungu ni mwema. Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu ...
6 Reactions
11 Replies
183 Views
Habari wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu! Baadala...
6 Reactions
29 Replies
490 Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
32 Reactions
594 Replies
11K Views
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja, Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Omary Mchengerwa inaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi huko vijijini. Kwasasa Tanzania...
21 Reactions
190 Replies
13K Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
3 Reactions
36 Replies
757 Views
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa...
6 Reactions
75 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo...
1 Reactions
10 Replies
213 Views
Maandalizi yameshaanza.
7 Reactions
46 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,317
Posts
49,197,324
Members
663,990
Latest member
Moeka Ludili
Back
Top Bottom