Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu..... Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Electrical popcorn machine inauzwa, Ipo katika hali nzuri sana ilitumika kidogo ikawa imekaa tu ndani Bei 200,000/= (haipungui) Location: kunduchi mtongani Call 0762 854563
1 Reactions
1 Replies
989 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Nimekuwa katika mapenzi kwa miaka mingi ila ikafika hatua nikaamua kuachana nayo baada ya kujikuta naumia zaidi ya kufurahia. Nikajikita kwenye utafutaji wa pesa tu lakini kutokana na hali ya...
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
19 Reactions
122 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Naomba kwa wajuzi wa Kabila tajwa hapo juu wanijuze utaratibu wa kuoa Kibosho. Vitu kama mahari vinakuwaje ili angalau nipate mwanga kidogo. Asanteni sana Mrejesho...
7 Reactions
204 Replies
23K Views
Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'. Sasa...
50 Reactions
75 Replies
2K Views
Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale...
0 Reactions
9 Replies
53 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Rais wa JMT Dr Samia ametoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Rais wa Jamhuri ya Muungano...
4 Reactions
53 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,584
Posts
49,489,513
Members
666,767
Latest member
JBLEMUTZ
Back
Top Bottom