Kusema ukweli kama unafikiria kiuchumi na kimkakati huwezi fanya maamuzi ya kuchagua vipaombele kama hivyo ambavyo Kwa maoni yangu ni vipaombele vya hovyo kabisa.
Kwamba Tumetukia Trilioni 3.6...
Unaweza sema urusi na ukrain hawapatani na unaweza sema israel na palestina hawapendani, unaweza zani mtu mweupe na mweusi wanabaguana, ila ukweli ni kwamba hawa wote wanafiki tu na hata hivi...
LOVE JUAKALI ALIVYOMLIPA WEMA MWANAMKE MWENZAKE ALIYEDAI HAMPENDI KWASABABU ANA SURA NA UMBO BAYA.
Unaweza kushangaa! unaweza usiamini lakini watu wema bado wapo! kama matukio yanavyojieleza...
Hii ni kutokana wengi wanafungua viwanda kusupport nchi yao, lakini wanasiasa kutokana na maslahi yao, wanaingiza bidhaa nchini bila kodi na bidhaa hiyo hiyo inayozalishwa nchini inakuwa na kodi...
Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis.
Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu.
Kwakweli Mungu ni mwema.
Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu ...
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc...
Vinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku.
Kimoja kina mwanga kina ulingo kuzungukia.
Kingine kinafanana na stelite kina Kingo kama ngazi za helicopter.
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo.
Sasa manzi akashika mimba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.