Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
7 Reactions
153 Replies
2K Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
3 Reactions
131 Replies
2K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
32 Reactions
138 Replies
5K Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
13 Reactions
110 Replies
2K Views
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure...
13 Reactions
257 Replies
12K Views
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
21 Reactions
89 Replies
2K Views
Hiki ni kisa ambacho kinaweza kuwagusa wengi hasa wale vijana wa kiume katika maisha ya mahusiano. Mara nyingi unakuta katika pilikapilika za hapa na pale za kusaka mpenzi/mchumba, kijana wa kiume...
21 Reactions
414 Replies
21K Views
Habari wakuu, Leo kutakuwa na droo ya robo fainal ya ligi ya mabingwa ulaya. Timu nane zimefuzu kwa ajili ya droo hiyo, ambazo ni; Arsenal (England) Atletico Madrid (Spain) Barcelona (Spain)...
14 Reactions
229 Replies
6K Views
Habari kwenu wanajamii wote. Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali? Mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh.Mtatiro kwa kuteuliwa tena...
1 Reactions
8 Replies
16 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,962
Posts
49,436,180
Members
666,147
Latest member
asamG
Back
Top Bottom