Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo...
9 Reactions
29 Replies
850 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
6 Reactions
63 Replies
1K Views
Sijajua ni Kwanini lakini Sidhani kama wanasifia kutoka mioyoni mwao Hii ni kama Petro alivyokuwa anamsifia Yesu kabla Jimbi hajawika Siasa za kuelekea Uchaguzi zinahitaji umakini mkubwa 🐼
3 Reactions
3 Replies
4 Views
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo...
10 Reactions
67 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini...
2 Reactions
69 Replies
2K Views
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
275 Reactions
51K Replies
18M Views
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni...
6 Reactions
26 Replies
153 Views
Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa task force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
9 Reactions
57 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,855
Posts
49,399,167
Members
665,745
Latest member
H VOLTAGE
Back
Top Bottom