Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wadau, Nataka kununua hizi camera zenye muonekano wa bulb (taa) ili nizitumie kama CCTV kwaajili ya ulinzi nyumbani kwangu na eneo la biashara. Naombeni ushauri wadau kuhusu ubora,uimara...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Ni kama kasumba ya mipira inayoelekea golini kugonga kwenye mstari wa goal inaendelea kuwa mwiba mchungu kwa timu ya Yanga. Tena katika mechi muhimu ambazo wanahitaji matokeo ya ushindi. Ukianza...
1 Reactions
13 Replies
165 Views
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania. Kama...
10 Reactions
67 Replies
1K Views
Baada ya TFF na bodi ya ligi kuhakikisha timu ya Yanga inadondosha point, tegemeeni taarifa ya kuufungia uwanja huu kuanzia kesho. PIA SOMA: - FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League |...
1 Reactions
9 Replies
225 Views
Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁
3 Reactions
11 Replies
343 Views
Hapo vip!! Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc,kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainal club bingwa. Majibu nikwamba yanga nitu zee ambalo halina...
0 Reactions
4 Replies
96 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
25 Reactions
79 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,215
Posts
49,478,640
Members
666,649
Latest member
Mo Said 83
Back
Top Bottom