Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa task force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
9 Reactions
86 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi...
4 Reactions
11 Replies
275 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu. Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k. Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu Lugha ya kiarabu -...
4 Reactions
4 Replies
5 Views
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI...
31 Reactions
4K Replies
2M Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
29 Reactions
134 Replies
2K Views
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba...
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
31 Reactions
251 Replies
3K Views
Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada...
2 Reactions
8 Replies
73 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,990
Posts
49,403,191
Members
665,812
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom