Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ninaomba mnisaidie kunitofautishia kati ya Creditors na Debtors, hizi terms nimeshndwa kuzielewa vizuri. Hata nimejarbu ku-google lakini sijaweza kutofautisha. Asanteni.
1 Reactions
14 Replies
18K Views
Toyota brevis Cc 2900 Ipo mlandizi Popote inafika Bei milioni 3 na nusu
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
1 Reactions
42 Replies
946 Views
MDOMO UNAUMBA, JINENEE MEMA. Miaka mitatu nyuma kulitokea kutokuelewana kati ya Jay Melody na Nandy ambapo Jay Melody alisikika akilalamika kuwa wakati Nandy hajawa msanii mkubwa Jay Melody ni...
1 Reactions
4 Replies
37 Views
Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro...
2 Reactions
33 Replies
661 Views
Wakuu samahani, Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao. Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu...
2 Reactions
22 Replies
231 Views
Uwezo wa Guede Jr umekwisha onekana ni mtu wa kusubiri apenyezewe ball papatu papatu na Yeye afunge, Geuede Jr ni mzito na siyo mtafutaji (mkabaji) Kama afanyavyo Kennedy Musonda na Clement...
1 Reactions
15 Replies
350 Views
Miaka ya karibuni kumezuka matukio kadhaa kwa serekali kushindwa kuendesha mashirika yake na imepanga kuwapa wageni, ili ni kosa instead serekali iajiri foreigner ambao wana exposure na sio hawa...
18 Reactions
88 Replies
1K Views
Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
3 Reactions
60 Replies
998 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,254
Posts
49,195,082
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom