Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumemsikia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitoa taarifa bungeni Leo, kuwa mafuriko hapa nchini kote, tokea mvua za masika zianze, yamesababisha vifo vya jumla ya watu 155! Hizi taarifa, tulipaswa...
1 Reactions
5 Replies
57 Views
Msaada tafadhari picha inajieleza.
0 Reactions
11 Replies
476 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Habari zenu! Bila kupoteza muda naiomba serikali itoe tamko kupitia wizara ya afya juu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Baadhi ya vituo vya afya vimeshaanza kuzidiwa na wagonjwa...
0 Reactions
5 Replies
71 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
32 Reactions
165 Replies
4K Views
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
16 Reactions
195 Replies
3K Views
CHATANDA: WANAWAKE WOTE WAJE WAJIFUNZE Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda akizungumza katika kipindi cha Sentro cha Clouds Tv Aprili 24, 2024 kuelekea mdahalo...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
19 Reactions
79 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,509
Posts
49,487,793
Members
666,768
Latest member
JBLEMUTZ
Back
Top Bottom