Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao.
Imeandikwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi...
Tulishasema tangu awali kwamba , Kwenye harakati za kisiasa , yako mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime .
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea...
Mimi niko ofisini ila napenda kufuatilia mambo ya bungeni kupitia chanel ya Youtube ya Bunge, kwa kweli sauti iko chini sana, yaani kwa sauti hiyo hiyo ukiweka mziki sauti inakuwa kubwa inasikia...
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.