Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huo ndio ukweli mchungu kwamba Ndani ya Chama hakuna wa kushindana na Rais Samia 2025 Hata zitolewe Fomu 1000 kwenye kura za maoni Dr Samia atashinda kwa Kishindo Kama unabisha basi watazame...
7 Reactions
36 Replies
404 Views
“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali...
7 Reactions
50 Replies
1K Views
Kama ilivyokuwa kwa Rais Dr Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi sioni Kabisa, narudia tena sioni kabisa Sababu inayomzuia Mwanasheria...
3 Reactions
52 Replies
795 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani...
5 Reactions
29 Replies
881 Views
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
33 Reactions
118 Replies
5K Views
Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa...
1 Reactions
5 Replies
136 Views
habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
3 Reactions
29 Replies
826 Views
Haya mje wana Kuna dada amemwaga maji huko Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3 Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa Kijana kumpeleka nyumbani...
0 Reactions
24 Replies
118 Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
30 Reactions
1K Replies
29K Views
"Money Penny buana, nadhani nimepata true love, Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii, Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex Nilipokuwa kifuani kwa...
9 Reactions
41 Replies
616 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,070
Posts
49,441,850
Members
666,184
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom