Uvulana ni shida Sana!
Ilikuwa mida ya jioni muda ambao maji ya bahari huwa sometime yamejaa vizuri sana na kukufanya uvutiwe kuogelea. Ilikuwa kawaida yetu siku moja moja kupenda kuogelea na...
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,
Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
for me jamii forum is for fun and being stupid at times. but I will share you my bet history. for people who don't count there losses
I start beting last year and wasted too much money and time...
Habari wakuu,
Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.