Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ulikuwa hujui basi ni hivi aliyekuwa muimbaji na mfalme wa pop duniani Michael Jackson alipanga mipango ili aweze kuishi miaka 150 hapa duniani Baadhi ya mipango hiyo ni - Aliajiri...
4 Reactions
15 Replies
420 Views
Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington katika mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha Obama akatoa taarifa kwa walinzi wake wawe tayari...
3 Reactions
5 Replies
97 Views
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni...
8 Reactions
47 Replies
373 Views
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI. == Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25...
5 Reactions
15 Replies
259 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
7 Reactions
84 Replies
2K Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
9 Reactions
130 Replies
3K Views
Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la...
2 Reactions
44 Replies
836 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
1 Reactions
23 Replies
469 Views
Kenya is deeply concerned by Iran's attack on the State of Israel. This disturbing development only serves to aggravate an already delicate situation in the Middle East. The attack represents a...
1 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,959
Posts
49,402,102
Members
665,796
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom