Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumetawaliwa na chama kimoja (CCM) tangu nchi ipate uhuru. Serikali ya CCM inahusika na makazi holela yanayokumbwa na mafuriko tunayoyashuhidia yanayosababisha maafa na hasara kubwa wa raia na...
1 Reactions
15 Replies
210 Views
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇 1. CPA. William E. Mtinya...
6 Reactions
83 Replies
1K Views
Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa...
30 Reactions
173 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
921 Reactions
1M Replies
39M Views
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele...
18 Reactions
130 Replies
3K Views
Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa...
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako? kipi kilikuliza? 🐒
5 Reactions
211 Replies
955 Views
Watu hawa wajitathmini maisha yao. Mungu anataka watu waishi wamtumikie,sio wafe kwa ajili Yake. Watu wajifunze kuwa polite,wasimuudhi yeyote,lakini kama imeshindikana waache siasa. Ina maana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,062
Posts
49,406,087
Members
665,830
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom