Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Mchambuzi maarufu wa maswala ya Siasa nchini mh Gelard Hando amesema mh Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba...
Salaam,Shalom!!
Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.