Ni kama amechoka hivi? Anaweza hamia CCM au kurudi CHADEMA? Anavyyongea siku hizi ni kama hajachangamka kama zamani? Au anatumia sana pombe kali? Nini kimemtokea huyu jamaa?
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
Mwulize jina lake
Mwulize namba yake ya uaskari
Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
Raia ana haki ya...
Sisis wakristo huw tunasherehekea ufufuko wa yesu yaani pasaka au kuzaliwa yesu yaani Christmass. Saa hwa wajamaa Huwa wanasherehekea tukio Gani?
Au huw wanasherehekea kuacha kushinda njaa siku...
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki.
Hii ni...
Hii Dar es Salaam sijajua ni kwa nini watu wanaipaparukia kiasi hichi, huu mkoa una paishwa tu lakini hamna kitu kabisa. Mkoa umejaa shida kila mahala.
Nitaongelea sekta ya usafiri, japo ki...
Nimeitoa huko twitter,
Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti.
Bila kupoteza muda ni...
Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma.
Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Utangulizi
Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
Boby risky a.k.a mjuba aliye left group la makamanda.
Hatimaye ame hukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya naira.
hakimu ame muondolea kipengele Cha kulipa faini, ili aende jela moja...
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga
Anatembea na Exodus 14:14
Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump 😂😂🔥
Kwenu Lucas na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.