Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
196K Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
44 Reactions
634 Replies
32K Views
Haya mje wana Kuna dada amemwaga maji huko Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3 Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa Kijana kumpeleka nyumbani...
0 Reactions
31 Replies
118 Views
Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo. Sasa manzi akashika mimba ya...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Na mimi naunga mkono, nashani sasa aondolewe kikosini
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
30 Reactions
1K Replies
29K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo...
5 Reactions
12 Replies
408 Views
Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni...
8 Reactions
275 Replies
2K Views
Jamani serikali ya ccm kuweni wasikivu kama mnavyojiita. Mpo tayari kuwanunulia wakuu wa mikoa na wilaya magari ya kifahari kwa sifa zipi au kazi ngumu zipi? Hayo mabilioni mgejengea barabara za...
6 Reactions
49 Replies
535 Views
Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa? Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa...
6 Reactions
33 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,070
Posts
49,441,850
Members
666,184
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom