Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida.
Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa...
Kwema Wakuu!
Funga ni yako na dini yako na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini...
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo.
Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Kwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga...
Wabongo wengi bado wajinga na akili zao zinawaza ngono muda wote hio ichukue kama fursa ya kuwapiga tengeneza account fake ya jinsia ya kike weka picha kali Kisha tafuta mavideo hayo post kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.