Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni Yanga au Simba?
3 Reactions
11 Replies
320 Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
42 Reactions
486 Replies
22K Views
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer...
21 Reactions
4K Replies
93K Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
22 Reactions
254 Replies
3K Views
List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,. kumbuka haya ni maoni binafsi tu...
2 Reactions
16 Replies
157 Views
Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada. Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho...
0 Reactions
16 Replies
172 Views
Sisi wengi wakongwe tunakumbuka historia ya Captain Gardner nguli wa vipindi vya redio, alianza kama muuza cassette (Kanda) za audio na video pale jijini mwanza kama mtu wa masoko, ndipo Othman...
0 Reactions
1 Replies
8 Views
Are you a teacher?? Who is the teacher? Jiulize unaqualify kuwa mwalimu? Kweli??? Kwa sababu ualimu sio jina ni matendo..je unayo matendo ya mwalimu?? Yaani... Matendo ya upendo, upole, uaminifu...
0 Reactions
3 Replies
58 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
3 Reactions
81 Replies
639 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,016
Posts
49,438,677
Members
666,163
Latest member
rajabu musa
Back
Top Bottom