Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc...
Millard Ayo ametoka Dar es salaam mpaka Babati kumhoji Bilionea Mulokozi hii ni win win situation kwa maana Millard Ayo kaongeza contents kwenye mitandao wake the same Mulokozi kaongeza wigo wa...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari...
Habarini za asubuhi wakuu.
Ni free kabisa,leo tutumie fursa kwa wale wenye challenge ya miti yao ya matunda,viungo au mingine mingine ya muda mrefu muweke matatizo yenu hapa na nitayajibu,lengo la...
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.