WAMEJIKAANGA KUKWEPA KUSAJILI MIKOPO BOT
- Sheria ya Fedha za Kigeni inakataza wakopaji kutokusajili mikopo yao Benki kuu ya Tanzania, ikielekeza kuwa ni lazima wakopaji kusajili mkopo BOT
-...
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wakubwa ni habari za wakati huu...
Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
Zimesalia siku mbili kuelekea siku kubwa ya kumbukizi ya Miaka 60 ya kuundwa kwa Jamhuri Muungano wa Tanzania 🇹🇿
Umoja wa Wanawake Tanzania UWT umeandaa Jambo kubwa la kitaifa kwa Wanawake...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
Najua utakua umekutana mjini na Mazda nyingi tu, especially CX5. Lakini, unajua kama Mazda family haijaishia hapo kuna mengine mazuri tu na yanafanya vizuri sokoni? Mfano huyu Mazda Axela...
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.
Karibu
Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.
Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo...
Nimekuwa najiuliza wakati BASHITE yupo NJE ya Uongozi Alikuwa haonekani kuwatembelea VIONGOZI wa DINI na kuwataka WAMWOOMBEE na kumbariki.Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao.
Imeandikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.