Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Post See new posts Conversation Haki Ngowi @Hakingowi Havard ,MarekaniRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete yupo Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani kutoa darasa kwa Mawaziri wa Fedha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania. Kama...
6 Reactions
30 Replies
527 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina...... The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad...
1 Reactions
2 Replies
107 Views
Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar? Kama wanambeya mtasema...
1 Reactions
6 Replies
101 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa...
2 Reactions
6 Replies
526 Views
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
1 Reactions
34 Replies
286 Views
Katika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana. Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na...
1 Reactions
12 Replies
245 Views
huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta. na atakayechafua aidha asafishe...
4 Reactions
14 Replies
134 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,137
Posts
49,475,820
Members
666,599
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom