Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya...
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme...
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr.
Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach
Je, nawe utaenda wapi?
Naona mambo sasa yamekaa sawa.
Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa.
Huu Mwaka hakuna kanisa lenye...
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji...
Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah
Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.