Ukimtoa Malkia Elizabeth II basi hakuna kiongozi mwengine wa kifalme aliyeiongoza uingereza kwa miaka mingi zaidi kumzidi Malkia Victoria kwa miaka 64 ....Ndio malkia Victoria ndio jina Lake...
Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri
Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza...
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania.
Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
Akifungua Maonesho ya wiki ya Nishati,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ametangaza kumalizika Kwa mgo wa Umeme Nchini.
Dk.Biteko amesema wamefanikiwa kutekeleza Agizo la Rais la...
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
HAKUNA ANAYEWEZA KUVUMILIA UMASKINI WAKO MAISHA YOTE NI VILE TU HANA PAKWENDA 😔
Achana na mifano ya kujifariji kuhusu wazee wetu walivyovumiliana kwenye umaskini maisha yote ni vile tu mmoja...
Copy & paste
Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao...
Inafikirisha sana kaaa kwa jicho la kimpira halaf tumia akili ya kawaida kabisa kuliwaza hili,
Usitumie hata Akili yako ya Form 4 wala form 6 tumia ile akili ya kuvukia Barabara tu Mkuu.
Waza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.