Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo 1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo. Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Takukuru Kilimanjaro,ondokeni ofisini njooni site, Kuna jambo lenu huku.Jengo lipo Kwa DED mwajuma . Aliteko Kilimanjaro eneo mtalijua.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
4 Reactions
37 Replies
319 Views
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
6 Reactions
75 Replies
2K Views
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela halafu uje ulalamike hela huioni wakati inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi...
20 Reactions
155 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
2 Reactions
21 Replies
366 Views
Mimi ni: Kujana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa...
7 Reactions
64 Replies
632 Views
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini. Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
Nyumba Inauzwa. Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda. Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom. Eneo Sqm 135.73 Ina leseni ya makazi. Bei Milioni 85 Karibu sana mteja...
7 Reactions
29 Replies
399 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,332
Posts
49,482,640
Members
666,695
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom