Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
72 Reactions
4K Replies
244K Views
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
19 Reactions
329 Replies
7K Views
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana. my views kwa mzize 1. Mzize ni useless player in...
1 Reactions
21 Replies
242 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
13 Reactions
112 Replies
5K Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
34 Reactions
649 Replies
14K Views
Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama. Ila kuna sehemu unakwama. Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupumguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja...
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
16 Reactions
108 Replies
2K Views
Mwenye update za Clara Luvanga atujuze, huyu dada aliwezesha Serengeti Girls kufuzu India World Cup under 17. Sasa hivi simsikii wala kumwona katika klabu yake ya Yanga Princess, wala sikumwona...
0 Reactions
13 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,662
Posts
49,425,286
Members
666,019
Latest member
Choppa nle
Back
Top Bottom