Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili ! Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa! Kama nyumba ya zamani...
Kuna mambo Mawili muhimu Sana
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu...
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa...
Wapo walioapa kuilinda na kuitetea katiba lakini wanasema muungano uvunjwe. Haya ni madhara ya mtu kuapa dhidi ya kitu asochokielewa.
Mtu anaapa kuilinda katiba je hiyo katiba anaielewa?
Nimara...
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)
Ni aidha
jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
Mbinu ya kukuibia wateja kwa...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu...
Wote tunajua kua Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki
Wana mbeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar?
Km wanambeya mtasema mpo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.